Shamba lenye jumla ya Heka 165 ambalo tayari limeishapimwa linauzwa .
Mahali: Shungumbweni, Mkuranga karibu na Kiwanda cha Chumvi Neel Salt
Bei: Shamba hilo linauzwa kwa kila Heka moja ni shilingi 1,500,000/= (Milioni moja na Laki tano)..
Umbali: Kilomita 5 kutoka baharini, Kilomita 26 kutoka barabara kuu ya Dar-Lindi, (Unaweza Ingilia kwa njia ya Kibada-Mwasonga pia).
Shamba lina miti ya mikorosho iliyopandwa kwa heka 20,Mianzi,kisima cha maji safi mita 72, kinatoa lita 20,000 kwa saa.
Kwa aliye SERIOUS kununua anakaribishwa sana.
KWA MAWASILIANO ZAIDI 0763000053
By Mpekuzi
Post a Comment