Mwili wa aliyekuwa RC Kilimanjaro, Anna Mghwira umezikwa leo July 26, 2021 katika eneo la Makumira wilayani Arumeru mkoani Arusha.
Na miongoni mwa viongozi kutoka Serikalini alikuwepo Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ambae aliambatana na salamu za pole kutoka kwa Rais wa awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Unaweza ukabonyeza play kutazama mwanzo mwisho kilichojiri msibani hapo
from Author
Post a Comment