BASATA Yapinga Kuenguliwa Kwa Miss Tanzania Rose Manfere kushiriki Miss World |Shamteeblog.

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema halijaridhia kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere, kushiriki mashindano ya Miss World yanayotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu Peutro Rico.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post