*Waziri Mwigulu azishauri benki kupunguza riba
* Afafanua suala la ufilisi wa dhamana kwa wateja
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Waziri Nchemba amesema benki hizo zimeunganishwa kwa kuzingatia ushauri na matakwa ya kisheria hivyo wafanyakazi wa benki hiyo mpya hawana budi kulitendea haki kwa jina hilo kwa kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii, ushindani na ubunifu wa hali ya juu kwa misingi ya benki hiyo ya taifa ya biashara nchini.
Amesema, benki hiyo itahudumia wateja wateja wote na wafanyabashara waliokuwa TPB na TIB na itatoa huduma kwa vwang vya kuhakksha mageuzi zaidi yanaendelea katika sekta ya fedha nchini ili kujenga uchumi imara na shindani katika viwango vya kimataifa.
" Hizi ni jitihada za Serikali katika kujenga uchumi wa taifa kwa kuzingatia uadlifu na ubunifu na sisi Wizara ya fedha, benki kuu tutatoa ushirikiano katika kuijenga benki ya biashara nchini TCB.'' Amesema Mwigulu.
Aidha Wazri Nchemba amezishauri benki zote nchini kushusha riba katika hatua zilizopo mikononi mwao na hiyo ni pamoja na kuangalia namna wanavyofilisi mali za wateja pindi wanaposhindwa
By Mpekuzi
Post a Comment