Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga imeshiriki Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga kwa kuonesha na kuuza bidhaa mbalimbali inazozizalisha zikiwemo Juisi, Soda, Maji, Biskuti, Mikate na pipi.
Pichani ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Ramadhani Hamisi akionesha Mikate inayozalishwa katika Kampuni ya Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021.
Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga yanayoongozwa na kauli mbiu “Uwekezaji wa Madini na Viwanda Shinyanga kwa Uchumi Endelevu” yameanza tarehe 23 Julai, yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 1 Agosti, 2021 katika uwanja wa Zainab Telack kijiji cha Butulwa kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mfanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Esther Shambuli akionesha Biskuti zinazozalishwa katika Kampuni ya Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021
Mfanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Ramadhani Hamisi akionesha Pipi zinazozalishwa katika Kampuni ya Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021
Mfanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Esther Shambuli akionesha Juisi za Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021
Wafanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Ramadhani Hamisi na Esther Shambuli (kulia) wakionesha bidhaa zinazozalishwa katika Kampuni ya Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021
Wafanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Ramadhani Hamisi na Esther Shambuli (kulia) wakionesha bidhaa zinazozalishwa katika Kampuni ya Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021
By Mpekuzi
Post a Comment