Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Alhamis 1 Julai 2021 (usiku) ameungana na wadau mbali mbali wa mchezo pamoja na tasnia ya habari katika ufunguzi wa msimu wa mashindano ya mpira wa miguu (Ndondo Cup) msimu wa mwaka 2021 ambapo droo na fashion show imefanyika.
Uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya Clouds Media Mikocheni umehudhuriwa pia na baadhi ya wabunge na viongozi wa vyama vya siasa.
By Mpekuzi
Post a Comment