RASMI sasa Lionel Messi sio mchezaji tena wa Barcelona |Shamteeblog.

 


RASMI sasa Lionel Messi sio mchezaji tena wa Barcelona , mkataba wake umeisha rasmi jana usiku

Joan Laporta anakimbizana na muda kumpa gwiji huyo mkataba mpya . Wanapambana na ishu za Financial Fair Play ( FFP ) na baada ya hapo ndio wapate ufumbuzi kuhusu suala la Messi

NOTE

Ngoja wenye hela zao wampitie juu kwa juu ndio Laporta hapo akili itamkaa sawa



from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post