Labda kama ulipitwa na hii acha nikusanue,Kama shabiki wa msanii wa Bongo Flava na mjasiriamali @officialshilole umepewa nafasi ya kumshauri kipi afanye kwenye mwili wake,aende Gym,afanye Surgery au akate utumbo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Shishi ameandika👇
“Haya jaman Ndugu zangu tuongee pamoja! kipi nifanye? Nikapigike GYM kiroho mbaya Nifanye sajari??? Nikakate Utumboooo???😂😂😂Haya twende kaz kitakqchokuwa na coment nyingi ndo ntakachofanya”
from Author
Post a Comment