Hawa Hapa Wanamuziki 10 Bora Tanzania |Shamteeblog.


01.@diamondplatnumz
02.@harmonize_tz
03.@officialalikiba
04.@mbosso_
05.@rayvanny
06.@officialzuchu
07.@officialnandy
08.@juma_jux
09.@marioo_tz
10.@darassacmg255

Vigezo:
1. Shows kali+Mapokezi kutoka kwa Audience (Nje na Ndani ya nchi)

2. Hit Songs (Wimbo wa Taifa Redioni, Tv na Kitaa)

3. Ep/Album kali
4. Idadi ya Views, Streams, Downloads.

NB: HUU NI MTAZAMO WANGU BINAFSI.

UNAKUBALIANA NA HII LIST KWA ASILIMIA NGAPI?


from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post