Mdau Salim Kambona akiwa na Mkewe mpendwa Bi Nadra Hamis wakiwa katika nyuso za furaha kabisa mara baada ya kufunga pingu za Maisha jijini Dar,Ama kwa hakika Michuzi Blog inawatakia kheri,baraka,afya njema na furaha tele katika hatua yao ya kuianza upya safari yao ya ndoa .
By Mpekuzi
Post a Comment