Harmonize Kuendeleza Ukarimu wa Marehemu Mengi Kwa Walemavu...Atangaza Kusherehekea Birthday Pamoja nao |Shamteeblog.


Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa mwanamuziki @harmonize_tz ametangaza kuja na tamasha lake la #oneloveconcert lenye dhumuni ya kuchangia na kufurahia na watu wenye mahitaji maalumu tarehe 20.03.2022 mlimani city dar es salaam.

Kupitia taarifa yake aliyoShare katika ukurasa wake wa Instagram @harmonize_tz ameleeza kuchangia kiasi cha million 2 huku akitaka kuungana na wadau na mashabiki mbalimbali kuchangia chakula, nguo, fenicha, vyombo pamoja na fedha kuanzai kiasi cha shiling 1000/= na kuendelea




from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post