Marekani imekanusha taarifa kuwa raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu Hushpuppi, ametekeleza wizi wa $400,000 (TZS milioni 926) kwa njia ya mtandao akiwa gerezani.
Hushpuppi alikamatwa mwaka 2020 kwa tuhuma za wizi wa jumla ya TZS bilioni 55.6, na anashikiliwa nchini Marekani.
from Author

Post a Comment