Mbowe Atoa Mpya "Jeshi la Polisi Asanteni Hakuna Sisimizi Aliyekanyagwa, Hakuna Mtu Aliyekamatwa wala Mtu Aliyepigwa Bomu" |Shamteeblog.
NaAidan Shamte-0
"Leo nimepokelewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), hakuna sisimizi aliyekanyagwa, hakuna Mtu aliyekamatwa wala Mtu aliyepigwa bomu, Jeshi la Polisi ahsanteni sana, hii ndio Tanzania tunayoitaka" - Freeman Mbowe.
Post a Comment