Wasanii wa WCB Watemwa Tuzo za Tanzania Music Awards |Shamteeblog.


Baraza la Sanaa la Taifa BASATA limetangaza wasanii wa muziki ambao wanakwenda kushiriki katika vipengele mbalimbali vya tuzo za muziki Tanzania.

Wasanii kutoka lebo ya WCB @wcb_wasafi hawajatokea kabisa kwenye orodha hiyo huku Marioo, Rosa Ree, Alikiba, Prof. Jay na Harmonize wakitokea kwenye vipengele vingi.



from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post