Watz 300 wameondoka Ukraine |Shamteeblog.

Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula amesema Watanzania wapatao 300 wameondoka Ukraine kwa nyakati tofauti.

Kuondoka kwao kunatokana na zoezi lililoratibiwa nchini humo na serikali kupitia balozi zake.

” Zoezi la kuwaondoa Watanzania wote waliokuwepo nchini Ukraine , wakiwemo wanafunzi limekamilika na Watanzani wote 300 wamefanikiwa kuondoka kuelekea nchi jirani na wengine kuja Tanzania,” amesema.

Ukraine imevamiwa kijeshi na Urusi na kupelekea wimbi kubwa la wakimbizi, vifo na wengine kukosa makazi.

The post Watz 300 wameondoka Ukraine first appeared on KITENGE BLOG.

The post Watz 300 wameondoka Ukraine appeared first on KITENGE BLOG.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post