Tanzania ipo Kundi F pamoja na Uganda, Niger na Algeria katika michuano ya kufuzu kucheza kombe la Mataifa ya Afrika itakayofanyika mwezi Mei na Juni mwakani nchini Ivory Coast.
Bingwa Mtetezi, Senegal ipo Kundi L pamoja na Benin, Msumbiji na Rwanda.
Makundi yote ni kama ifuatavyo:
Group A: Nigeria, Sierra Leone, Guinea-Bissau, Sao Tome e Principe or Mauritius
Group B: Burkina Faso, Cape Verde, Togo, Eswatini
Group C: Cameroon, Kenya, Namibia, Burundi
Group D: Egypt, Guinea, Malawi, Ethiopia
Group E: Ghana, Madagascar, Angola, Central African Republic
Group F: Algeria, Uganda, Niger, Tanzania
Group G: Mali, Congo Brazzaville, Gambia, South Sudan
Group H: Ivory Coast (hosts), Zambia, Comoros, Lesotho
Group I: Democratic Republic of Congo, Gabon, Mauritania, Sudan
Group J: Tunisia, Equatorial Guinea, Libya, Botswana
Group K: Morocco, South Africa, Zimbabwe, Liberia
Group L: Senegal (holders), Benin, Mozambique, Rwanda
The post AFCON 2023: Tanzania yapangwa kundi moja na Algeria, Uganda first appeared on KITENGE BLOG.
The post AFCON 2023: Tanzania yapangwa kundi moja na Algeria, Uganda appeared first on KITENGE BLOG.
By Author
Post a Comment