Ndugu zetu Wanaijeria Hawaamini Wanachokiona, Angelique Kidjo Achukua TUZO ya Grammy Mbele ya Wizkid |Shamteeblog.


Mwimbaji Angelique Kidjo ameshinda tuzo ya Grammy usiku huu kwenye kipengele cha Best Global music Album kupitia album yake ya #MotherNature.

Kipengele hicho kilikua kinawaniwa na nyota wa muziki barani Afrika @wizkidayo kupitia album yake ya #MadeInLagos pamoja na album za wasanii wengine.

Ndugu zetu wanaijeria hawaamini wanachokiona ,maoni yako ni yapi..?




from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post