Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) na Bw. Mavere Ali Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Mradi wa USAID Global Health Suppy Chain Technical Assistance huku akimteua Bw. Raymond William Mndolwa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji.
By Mpekuzi
Post a Comment