HomeHABARI Ruby Atamani Kufa "Najisikia tu Nife, Nikapumzike na ya Dunia" |Shamteeblog. NaAidan Shamte -April 11, 2022 0 Mwanamuziki Ruby Kupitia account Yake ya Instagram ameandika haya "Najisikia tu Nife, Nikapumzike na ya Dunia" Flaviana Matata Baada ya Kuona hivyo ameandika haya: “Yeyote aliyeko karibu na Ruby ( @iamrubyafrica ) ahakikishe anapata usaidizi kabla ya kuchelewa TAFADHALI🙏🏾” ——— 📌 @FlavianaMatata Je, Unadhani ni Nini kimempata Mwanamuziki Ruby from Author
Post a Comment