Hag azitishia nyau Man City, Liverpool |Shamteeblog.

Kocha wa Manchester United Erik ten Hag amesena Manchester City na Liverpool ni timu nzuri sana zenye ushindani, lakini mwisho wao unafikia ukingoni.

Akiongea na waandishi wa habari wakati wa utambulisho wake, Hag amesema anavutiwa sana na vilabu hivyo, lakini zama zozote zina mwisho.

Alipoulizwa kama United ingeweza kupambana na Man City pamoja na Liverpool katika ushindani mkali wa ligi iliyoisha, Hag amesema.

” Nina zihusudu sana timu za Manchester City na Liverpool,”

” Lakini wajiandae na ushindani na Manchester United,”

” Nina hakika kila klabu katika ligi Kuu itataka kutoa ushindani ” amesema..

The post Hag azitishia nyau Man City, Liverpool first appeared on KITENGE BLOG.

The post Hag azitishia nyau Man City, Liverpool appeared first on KITENGE BLOG.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post