Pichani ni Kendrick Lamar akiwa nchini Ghana, Avaa Shati Moja Wiki Nzima na Kunywa Maji ya Kondoro |Shamteeblog.


Pichani ni Kendrick Lamar akiwa nchini Ghana, unaambiwa amevaa hiyo nguo kwa takribani wiki nzima, lakini pia ameonekana dukani kwa Mangi akiwa anakunywa maji ya kwenye mfuko maarufu kama maji ya ‘Kandoro’

from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post