Mwimbaji Nandy Atangaza Kusitisha Tamasha la Nandy Festival Kutokana na Hali ya Kiafya |Shamteeblog.


Mwimbaji Nandy kupitia menejimenti yake leo ametangaza kuahirishwa kwa Tamasha la “Nandy Festival” ambalo lilikuwa tayari limeanza. 

Hii ni kutokana na hali ya Kiafya ya Nandy ambaye ni mjamzito.


from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post