Tambaza Youth Academy kufanya majaribio leo na kesho kwa wachezaji wanaotaka kuichezea timu hiyo |Shamteeblog.

Timu ya Tambaza Youth Academy  inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu Mkoa wa Ilala itafanya Majaribio Kwa Wachezaji wanaotaka Kuichezea Timu hiyo Kwenye Ligi Daraja la Tatu inayotarajia kuanza Mwanzo mwa Mwezi wa Tisa .

Majaribio hayo yatafanyika katika Uwanja wa Msimbazi Rovers leo Jumatu na  kesho Jumanne kuanzia Saa Nane mchana hadi saaa Kumi Jioni.

Imetolewa na Mwenye Kiti wa Tambaza Youth Academy

MWINYI MADI TAMBAZA
0715 92 35 61


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post