Mwanamke Ahukumiwa Jela Miaka 60 Jela Kwa Kumbaka Mtoto wa Kiume Mwenye Miaka 6 |Shamteeblog.
NaAidan Shamte-0
Mwanamke mmoja mjini Pennsylvania amehukumiwa kifungo cha miaka 60 Jela kwa kumbaka mtoto wa Kiume mwenye umri wa miaka 6.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Mwanasheria wa kitongoji cha Clinton, mwanamke huyo kwa jina Tonya Krout (38) amekutana na hukumu hiyo kufuatia kitendo chake cha kumbaka mara kwa mara mtoto huyo kati ya mwaka 2010 hadi 2015.
Post a Comment