Zari Hassan Adai Kiben Ten Wake Anataka Kumuoa Yupo Tayari Kuwaona Wazazi |Shamteeblog.


Zari ameamua kuwapa makavu baadhi ya Waganda ambao hawapendezwi na mahusiano yake ya Shakib,

Zari anasema (kwa kiganda)

"Shakib aliniambia jana kuwa anataka kukutana na baba yangu. Anataka kutoa posa kwaajili ya ndoa, yuko tayari kunioa. Waliosema itaishia kwa machozi rudini kwa waganga wenu mkaombe warudishe hela, uchawi haukufanya kazi"


from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post