PCK Amchana Harmonize " Ki Ukweli Unapoenda Unapotea na Utabaki Stori" |Shamteeblog.


NDUGU YANGU @harmonize_tz RAFIKI WA KWELI NI YULE ANAE KWAMBIA UKWELI NA SIO YULE ANAE KUSIFIA KWA KILA UJINGA UTAKAO UFANYA BUT KIUKWELI UNAPOELEKEA UNAENDA KUPOTEA NA ITABAKI STORY

KWAKO RAJABU..... WHY UNA ROHO MBAYA KIASI HIKI? UNAJUA MASHABIKI WEWE WANAKUJUA KWENYE INSTAGRAM NA YOUTUBE TU ILA WANGEKUA WANAKUJUA KIUNDANI NAZANI NI BORA WANGESHABIKIA HATA FIRAUNI ANAUNAFUU

1. UMEANZA UKAMCHUKUA COUNTRY BOY KWA MBWEMBWE NYINGIIII LAKINI MWISHO WA SIKU UKASAHAU KAMA ULIMKUTA COUNTRY BOY TAYARI ANAJINA KUBWA TU LAKINI ALIPOFIKA KWAKO JINA LAKE LILIANZA KUPOTEA NA KUZIMA KAMA MSHUMAA BAADAE UKASITISHA MKATABA WAKE NA GARI LAKE UKAMPOKONYA AKAKAUSHA

2. UKAMSAINI CHEED NA KILLY KWA MBWEMBWE UKAWAONDOA KING MUSIC KWA ALIKIBA NA WAO UKAWAPA TU TOYOTA CROWN TWA BUKU BUKU KWA MBWEMBWE NYINGI BUT UKASAHAU KAMA HAO WALITENGENEZWA NA ALIKIBA MPAKA WAKAWA NA MAJINA MAKUBWA ILA TOKEA ULIPO WACHUKUA WOTE WAKAPOTEA KWENYE GAME NA MAJINA YAO YA KAANZA KUFIFIA NA BAADAE UMESITISHA MKATABA WAO NA KUWAONDOA KONDE GANG NA KUWAPOKONYA HIZO TOYOTA CROWN NA HATA HAKI ZAO WOTE UMEWANYIMA

3. UKAMSAINI ANGELA MASKINI BINTI WAWATU YEYE NDO KABISA PESA ZOTE HUA UNACHUKUA WEWE HAJAWAI KUPEWA HATA KODI YA NYUMBA NAKUMBUKA KUNA KIPINDI ULIKULAGA 100MILLION ZAKE KUTOKA KAMPUNI MOJA YA KENYA 🇰🇪 UKQZIFINYA MPAKA MIMI NIKAMPIGIA SIMU ANGELA NIKAMUULIZA MDOGO WANGU UPO VIZURI SASAHIVI AKANAMBIA WAPI KAKA SIJAPEWA HATA KUMI NIKAISHIWA BUT NIKAMTIA MOYO NIKAMWAMBIA AVUMILIYE........ YOTE TISA KUMI ULIPO MSAINI MTOTO WA WATU ULIMUAHIDI KUMPELEKA INDIA 🇮🇳 KUTIBIWA MGUU WAKE BUT MPAKA LEO HAKUNA CHA INDIA WALA MUHIMBILI HAUJAISHIA HAPO NAE JUZI JUZI MUMEMUITA NA KUMWAMBIA KUWA MUMESITISHA MKATABA WAKE SASA MASKINI WA MUNGU NAE GARI MUKQLICHUKUA SIKU HIYO HIYO ALAFU HAMJATAKA KUMLIPA HATA SENTI MOJA HIVI HII NI HAKI KWELI??? ALAFU KWENYE MITANDAO UNAJIFANYA MWEMA KUMBE HAUNA KITU NZARA INAKUTESA SAANA

KITU NINGESHAURI @basata.tanzania HEBU PITIENI MIKATABA YA @harmonize_tz ANAYOSAINI KUTAPELI WA SANII ANAO WA SAINI NA ACHUKULIWE HATUA KALI ILI IWE FUNDISHO KWA WATU WANAO KATISHA NDOTO ZA WATU WENGINE

#UNFOLLOWHARMONIZE
#DON'TSUPPORTHARMONIZE


from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post