Mpatanishi Mkuu wa Serikali, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema Dola Bilioni 190 zilizotakiwa kulipwa na Kampuni ya Acacia Julai 2017 kama kodi, Malimbikizo na faini ya ukwepaji kodi zilikuwa hazilipiki
Amesema "Ile haikuwa kodi halali, ilikuwa ni kodi inayobishaniwa, na siyo siri, hiyo kodi utaitoa wapi? Inazidi GDP za nchi zote. Namtafuta Mwigulu (Waziri wa Fedha) nimwambie
Ameongeza “Unajua hizo trilioni zilipigwa baada ya wao kupeleka Mashtaka ICSD (Kituo cha Kimataifa cha Kusuluhisha Migogoro) kudai karibu Dola Bilioni 2, vitu vingine huwezi kuvieleza kwasababu ni mbinu za upatanishi."
from Author
Post a Comment