UJENZI WA JENGO LA ABIRIA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE WAFIKIA ASILIMIA 68 |Shamteeblog.

Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Songwe ambapo hadi sasa umefikia asilimia 68. Jengo hilo litakapokamilika litakuwa na uwezo wa kuhudumia abiria 600 kwa wakati mmoja.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akikagua kazi za uwekaji ngazi za kwenye jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Songwe. Mkoani Mbeya.


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post