Shirikisho la Soka CAF limetangaza kuahirisha droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika #CAFCL na kombe la Shirikisho #CAFCC ambayo ilipangwa kufanyika kesho Jumatano, Novemba 16, 2022.
Tarehe mpya itatajwa huku CAF ikiomba radhi kwa usumbufu wowote.
L
from Author
Post a Comment