Shirikisho la Soka Duniani(FIFA) limeitaka timu ya Taifa ya Ubelgiji kuondoa neno "Love" kwenye kola ya jezi zao za ugenini.
Uamuzi huo wenye unakuja siku mbili kabla ya kikosi hicho cha Roberto Martinez kucheza na Canada,Jumatano jioni,mechi yao ya kwanza katika Kombe la Dunia.
from Author
Post a Comment