Klabu ya Manchester United Kumsajili Mbappe Kuziba Nafasi ya Christian Ronaldo |Shamteeblog.


Klabu ya Manchester United inataka kumsajili Mshambuliaji wa PSG na Timu ya Taifa ya Ufaransa, Kylian Mbappé kuchukua nafasi ya Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa pauni milioni 150. Victor Osimhen pia yuko kwenye rada za klabu hiyo, wakitafuta mshambuliaji.




from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post