Mapya Yaibuka Kuhusu Shujaa Majaliwa, Walionusurika Wakataa Kuokolewa nae |Shamteeblog.


Mapya yameibuka kufuatia taarifa za baadhi ya manusura wa ajali ya ndege iliyotokea hivi karibuni mkoani kagera/ bukoba ,kutaja kutookolewa na kijana aliyejizolea umaarufu kwa kutajwa kusababisha kuokolewa kwa watu zaidi ya 24 katika ajali hiyo Majaliwa Jackson maarufu kama #ShujaaMajaliwa.


Kupitia mohojiano tofauti tofauti hivi karibuni mtandaoni yameibua hayo kwa baadhi ya abiria walio okoka katika ajali hiyo kueleza kuto-okolewa na Majaliwa huku baadhi pia wakitaja kumuona Shujaa huyo ambae anakwenda kujiunga na jeshi la uokoaji nchini kama agizo la Raisi.Samia Suluhu lilivyotaka.



from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post