"Nimetumiwa malalamiko mengi na wananchi kuwa baadhi ya ving’amuzi nchini vimeondoa channel ya TBC wakati leo wakianza kuonyesha mashindano ya Kombe la Dunia. Nimewaagiza TCRA kushughulikia. Naomba utulivu wakati tukifuatilia jambo hili."
- Waziri wa Habari, Nape Nnauye
from Author
Post a Comment