Lemutuz Ameandika haya kufuatia habari ya PCK kumaliza na Paul Makonda
"BOMA YEE! & FREE EDUCATION! Hizi habari hazikunishangaza sana na jana Usiku NIMEONGEA SANA na Mwanasheria wangu Msomi sana wa ajabu @kinaraben ....kuhusu namna ya KUMPIGA MFUKONI akaniambia ndiko TUNAKOELEKEA sasa ....na pia nimesikia Mshitaki wangu amejitokeza na kusema kuwa AMESHALIPWA GARI LAKE NA MAKONDA ALIZOKUWA ANADAI YAANI TSH. 240M .....siwezi kumsemea Makonda isipokuwa KWANGU BADO HII KESI NI NDEFU SANA kama kawaida yangu UKIANZISHA VITA NA MIMI Mwalimu Nyerere alinifundisha kwenye Vita na Idd Amin ...MIMI NDIYE NITAKAYE IMALIZA HIYO VITA SIO WEWE TENA NA HUWEZI KUNICHAGULIA SILAHA ......halafu majuzi NIMEIKUMBUKA SANA historia ya MIMI KWENDA KAGERA SUGAR BUNAZI baada ya Vita ya Idd Amin nilienda na EXPERTS WAHOLANZI KUFANYA TATHMINI YA HASARA NA KUTOA MAPENDEKEZO YA NAMNA YA KUKIRUDISHA TENA KIWANDA HICHO yaani KAGERA SUGAR A & B ....nilikuwa ndio kwanza nimemaliza High School lakini AKILI KUBWA SANA so nikachaguliwa mimi kufuatana nao Waholanzi tukapanda ndege ya JWTZ mpaka Bukoba Wazungu walifikia Hotelini mimi nilifikia Nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa then COMRADE NSA KAISI mmoja wa Viongozi Shupavu sana wa CCM Zamani na MUNGU AMUWEKE PEMA PEPONI ili kuepuka RUSHWA ALIAMUA KUISHI KWENYE KAMBI YA JESHI BADALA YA NYUMBA YA RC so nilikuwa ninaishi ndani ile Nyumba mwenyewe kwa Mwaka mzima ...maana nilikuwa ninaenda Kagera Bunazi Wiki nzima then ninarudi Bukoba mjini mwisho wa Wiki ....hahahaha IT WAS ONE OF MY SUPER ADVENTURE ...now NINAFIKIRIA SANA SIJUI NIANDIKE THAT PART OF MY LIFE's History maana najua hakuna anayeijua hahahahah BADO NINAIFIKIRIA SANA au MNASEMAJE PEOPLE?" - BOMA YEE!
from Author
Post a Comment