![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/11/DSC_6670-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/11/DSC_6688-scaled.jpg)
AMIDI Mkuu wa Mabalozi wa Tanzania Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Mhe Dkt..Asha-rose Mingiro akitowa maelezo ya Mwelekeo Mpya katika Kuimarisha Diplomasia ya Uchumu (Tulipotoka,Tulipo Sasa na Tunapoelekea) wakati wa mkutano wa Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania na Menejimenti ya Wizara, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-11-2022.(Picha na Ikulu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/11/DSC_6704-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/11/DSC_6727-scaled.jpg)
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt.Stergomena Tax akizungumza katika mkutano wa Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania na Menejimenti ya Wizara, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Mabalozi wa Tanzania, uliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-11-2022.(Picha na Ikulu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/11/DSC_6889-scaled.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika mkutano wa Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Tanzania Nje ya Nchi uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-11-2022.(Picha na Ikulu)
By Mpekuzi
Post a Comment