Argentina Imekuwa Timu ya Kwanza Kutangulia Fainali za Kombe la Dunia, Messi ni Noma |Shamteeblog.


Argentina imekuwa timu ya kwanza ya taifa kutangulia fainali ya kombe la Dunia nchini Qatar baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Croatia,ushindi huu unafanya Argentina alipize kisasi cha mwaka 2018 ambapo Croatia alishinda 3-0 kwenye hatua ya makundi.

FT:Argentina 3-0 Croatia
Messi⚽ Alvarez ⚽⚽

Messi asifananishwe na nini ?


from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post