Mwanasheria Mkuu wa Angola amethibitisha kuwa Polisi wa kimataifa wanaohusika na uhalifu wametoa hati ya kukamatwa kwa mtoto wa zamani wa Rais wa nchi hiyo Isabel Dos Santos.
Binti huyo wa aliyekuwa Rais Jose Eduardo dos Santos anakabiliwa na kesi ya wizi wa dola blioni 5, madai ambayo ameyakana.
Mwaka 2019, mahakama ya mjini Luanda ilitoka zuio la kuzuia kukamatwa kwa mali zake.
Mahakama imetoa wito wa kukamatwa kwake baada ya kushindwa kuitikia wito kadhaa.
Na amekuwa akiandamwa na madai hayo toka mwaka 2018.
The post Binti wa Rais wa zamani wa Ghana atafutwa kwa madai ya wizi appeared first on KITENGE BLOG.
By Author
Post a Comment