RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI DUNIANI |Shamteeblog.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainabu Telack kwenye Maadhimisho ya  Siku ya Ukimwi Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika kwenye uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi tarehe 01 Desemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Lindi kwenye Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Ilulu Mkoani humo tarehe 01 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainabu Telack kwenye Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika kwenye uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi tarehe 01 Desemba, 2022.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa Lindi wakiwa kwenye Uwanja wa Ilulu kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia kwenye Siku ya Ukimwi Duniani ambayo Kitaifa imefanyika Mkoani humo tarehe 01 Desemba, 2022.

By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post