Dr. Mwinyi akikabidhi zawadi kwa Mlandege |Shamteeblog.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi aliyekuwa mgeni rasmi katika fainali ya Kombe la Mapinduzi Mwaka 2023 ,akikabidhi zawadi ya iiasi cha Shilingi Milioni 30 na kikombe kwa washindi , Mlandege F.C ya Zanzibar.

Pia awamekabidhi washindi wa pili timu ya Singida Big Stars Kiasi cha shilingi Milioni 20.

Michuano imefanyika Uwanja vya Amaan na kumalizika jana Ijumaa Januari 13,2023.

The post Dr. Mwinyi akikabidhi zawadi kwa Mlandege appeared first on KITENGE BLOG.



By Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post