MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MARIAM MWINYI AFUNGUA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI KWA MCHEZO WA NETIBOLI VIWANJA VYA GYMKHANA UNGUJA LEO |Shamteeblog.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akipokea maandamano ya Wanamichezo wa mchezo wa Netiboli  katika Ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi  uliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja  leo 4-1-2023, (kushoto kwake) Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana  Utamaduni na Michezo Zanzibar B.Fatma Hamad Rajab na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wanamichezo wa Timu mbalimbali za Netiboli Unguja wakishiriki katika maandamano ya ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi yanayofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-1-2023.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya KVZ  wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Netiboli Kombe Mapinduzi  uliyofanyika  katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-1-2023.(Picha na Ikulu)MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mchezo wa Netiboli  uliyofanyika katika Uwanja wa Gymkhana Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 4-1-2023.(Picha na Ikulu)



MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akirusha mpira golini kuashiria kuyafungua Mashindano ya Kombe la Mapinduzi katika uwanja wa Gmkhana Wilaya ya Mjini Unguja leo 4-1-2023, katika mchezo wa ufunguzi  ulizikutanisha Timu za KVZ na Zimamoto na  Timu ya KVZ imeibuka na ushindi wa bao 42-41.(Picha na Ikulu)


 


By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post