Show ilikuwa ni special kwa matajiri na watu wa kati na ndio maana ikawa ya kistaarabu. Picha linaanza kwenye bei za ticket, bila 100K huingii
Sio show za makelele ya kushoto kulia, Washa taa, Woyo woyo woyo, Mikono juu Nk.
Hakukuwa na haja ya msanii kuvua nguo kwenye stage wala kuruka hovyo kama chizi
Matajiri utawagundua tu, utasikia “Diamond alifanya performance nzuri sana" ila hawa fungulia Dog ndio wapondeaji wakuu maana haya mambo hawajayazoea!!
NB: Screen za Benki hazinaga sauti😂
from Author
Post a Comment