Cristiano Ronaldo amefunga magoli manne na kuisaidia klabu yake ya Al Nassr FC kuibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya Al Wehda FC katika mchezo wa Ligi kuu Saudi Arabia.
FT:Al Wehda FC 0-4 Al Nassr
⚽⚽⚽⚽C.Ronaldo
Al Nassr FC imerejea kileleni mwa msimamo wa Ligi kuu Saudi Arabia
from Author
Post a Comment