.
"Nakumbuka siku moja account yangu ya Bank ilisoma zero "0000" kwa sababu ya kumfanya mtoto wa mtu awe na furaha lakini haikusaidia niliachwa😭, kwa sasa nayachukia sana mapenzi na nimeamua kuwa single japo kuna watoto wa kike wengi wananipenda na wanataka kuanzisha mahusiano na mimi"- ameandika Harmonize kwenye Instagram stori yake..
from Author
Post a Comment