
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali vinavozungumzia Haki za Binadamu na Mratibu Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania Bw. Onesmo, wakati akitembelea maonesho ya uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika viwanja vya Mapinduzi Square katika hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyoendana na Matembezi ya Marathon ya Kilomita 10 na 5, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Mji Mkongwe Zanzibar na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023.(Picha na Ikulu)
By Mpekuzi
Post a Comment