Rais wa Urusi Recep Tayyip Erdogan amesema ni vigumu sana kujianda na uokoaji linapotokea janga kubwa la tetemeko kama lililoikumba nchi hiyo hivi karibuni.
Zaidi wa watu 11,000 wameripotiwa kuuawa kutokana na tetemeko lililotokea nchini Uturuki.
Familia ambazo zimepoteza ndugu na jamaa katika maeneno yaliyoathirika zaidi zimesema kasi ndogo ya uokoaji zimewafanya washindwe kuokoa miili ya wapendwa wao waliokwama katika vifusi.
” Haiwezekani kujiandaa kwa majanga makubwa kama haya ,” amesema Rais huyo wa Uturuki.
Hata hivyo, Rais huyo amekiri kuchelewa kwa zoezi la uokoaji na kusema kuwa limesababishwa na uharibifu wa barabara na miundombinu.
The post Rais wa Uturuki ajitetea kwa uokoaji legelege appeared first on KITENGE BLOG.
By Author
Post a Comment