Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Mbosso Apata Ajali ya Gari Marekani |Shamteeblog.


Staa wa Muziki wa Bongo Fleva @mbosso_ Amenusurika Kifo baada ya Kupata Ajali huko Marekani, Kupitia ukurasa wake wa Instagram Staa huyo ameshare video zikionesha gari alilokuwa amepanda likiwa limeharibika upande huku akisema kuwa ndio upande aliokuwa amekaa na Gari lilikuja kugonga upande huo huo.



Mbali na hivyo #Mbosso amewahakikishia Mashabiki zake kuwa yupo sawa licha ya kuwa na Maumivu kwenye Bega,Mbavu na Uti wa Mgongo


from Author

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post