PSG vs Bayern Munich, Dortmund vs Chelsea, Club Brugge vs Benfica.
UEFA Champions League (UCL) inaendelea tena kwa michezo ya kwanza minne ya hatua ya 16 bora ya mtoano ni PSG vs Bayern, Dortmund vs Chelsea, AC Milan vs Spurs, Club Brugge vs Benfica, ni muda muafaka wa kuzijua ni timu gani zitasonga mbele hatua ya 8 bora au robo fainali, Meridianbet kama kawaida wamejipanga kwa kutoa Odds kubwa na machaguo Zaidi ya 1000+ kwenye mechi zote za hatua ya 16 bora UCL.
Mechi za Jumanne 14/2/2023
Staa wa PSG Neymar Jr atakuwa na jukumu la kuivusha timu yake kwenye hatua inayofuata ya 8 bora ni baada ya wachezaji wao wawili tegemezi kuukosa mchezo huo dhidi ya Bayern Munich, Kylian Mbappe na Lionel Messi wote wana majeruhi. Hata hivyo mwenendo wa Bayern kwa msimu huu sio mzuri sana anaongoza Ligi ya Bundasliga kwa utofauti wa alama moja tu dhidi ya Union Berlin. Mechi hii unahisi itaishaje? Bashiri na Meridianbet. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.
Mchezo wa mwisho kwa siku hii ni AC Milan watakuwa wenyeji wa Tottenham ambao bado wana pigo kubwa la kuwakosa baadhi ya nyota wao kama nahodha wao Hugo Lloris ambaye ni mlinda mlango namba moja wa Spurs. Milan wameapa kuichalaza Spurs huku Harry Kane akifikiria kutamba na rekodi yake ya kufunga. Odds ni kubwa sana Milan ushindi 2.50 vs 2.79 ushindi kwa Tottenham. Beti na Meridianbet chagua unachokita watakupatia.
Mechi za Jumatano 15/2/2023
Jumatano tamu sana, ujue ni kwanini nakwambia hivyo ni kwa sababu utakuwa ni moja ya mtu mwenye bahati sana kama utachagua kubeti Meridianbet, ukiachana na mechi za hatua ya 16 bora ya UEFA kati ya Borussia Dortmund mwenyeji wa vijana wa Graham Potter Chelsea watakapo menyana kwenye dimba la Signal Iduna Park.
Odds za ushindi ziko hivi mwenyeji ana 2.45 ushindi vs 2.84 ushindi kwa Chelsea, wewe unampa nani? Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.
Wakali kutoka Ligi ya Ubelgiji Club Brugge wanaotumia uwanja wao wa nyumbani maarufu kwa jina la ‘Jan Breydel Stadium’ watakuwa na kibarua cha kuhakikisha wanaondoka na matokeo mazuri dhidi ya Benfica kutoka Lisbon-Ureno inayoongozwa na mwenyekiti wao Rui Costa. Meridianbet wanatoa Odds kubwa na machaguo kibao Zaidi ya 1000+ Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!
Nilikwambai sio mechi za UCL pekee, lakini pia maasimu wakubwa kwa sasa kwenye ligi ya EPL wanaowania ubingwa huo kwa ukaribu Zaidi, Arsenal na Manchester City watacheza kwa mara ya kwanza kwa msimu huu, ni moja ya mechi kali na muhimu kwa kila timu. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri Hapa.
Endapo Pep Guardiola atamfunga Mikel Arteta, msimamo utakuwa ni mwingine kabisa City atalingana pointi na Arsenal wakiwa na 51 kila mmoja ila utatofautiana kwa utofauti wa magoli ya kufunga na kufungwa. Unadhani ni Arsenal au City atakubali kuachia pointi? Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet.
from Author
Post a Comment