Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino tarehe 2 Februari, 2024 .
Ndugu Doris Ntuli Kalasa akila kiapo cha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino tarehe 2 Februari, 2024 .
.jpg)
By Mpekuzi
Post a Comment