KIJANA GOODLUCK ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU NA VIFAA |Shamteeblog.

Kijana Goodluck Kanisyusi Mwenda, mkazi wa Kata ya Msamala, Mtaa wa Oyestbey, Manispaa ya Songea, Mkoani Ruvuma ana ulemavu wa viungo hazungumzi japo alizaliwa akiwa mzima bila shida yoyote anahitaji msaada wa haraka wa matibabu, mahali pa kuishi, na vitendea kazi kwa ajili ya mazoezi.

Mambo anayohitaji:

  • Msaada wa matibabu
  • Mahali pa kuishi
  • Vitendea kazi kwa ajili ya mazoezi

Tunaomba msaada kutoka kwa jamii na watu wenye moyo wa huruma ili kumsaidia kijana huyu kufikia malengo yake.

Kwa msaada na taarifa zaidi, tafadhali wasiliana na Suzana Ngaila kupitia namba ya simu: MPESA 0740462071 (Jina Suzana Ngaila)

Tunaamini kwa pamoja tunaweza kumsaidia Goodluck kupata maisha bora na afadhali.



By Mpekuzi

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post