KUTOKA KUFANYA KAZI VIWANDA VYA WAHINDI HADI KUMILIKI BIASHARA KUBWA |Shamteeblog.


Baada ya kufanya vibarua kwa miaka mingi kwenye viwanda vya Wahindi nilichoka na kuamua nianze mpango wa kujiari maana ndipo nasikia kuna faida na watu wengi wameweza kutoka kimaisha.

Ili kufikia lengo langu hilo nilianza kutunza fedha zangu nilizopata kila mwisho wa mwezi ingawa ilikuwa kwa kujinyima sana, sikuwa nakula chakula kizuri wala kuvaa nguo nzuri.



By Mpekuzi

Post a Comment

Previous Post Next Post